Marekani imeongeza soko lake la uuzaji wa silaha kwa nchi zingine hadi asilimia 37 katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, kulingana na Taasisi ya Utafiti yenye makao yake nchini Sweden. Kuongezeka ...
Rais Samia Suluhu ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wote wa soko la mitumba la Karume jijini Dar-es-salaam nchini Tanzania ambalo limeungua usiku wa kuamkia leo na kusababisha asilimia 98 ya ...
Kenya imejiunga na mataifa yanayouza bidhaa zisizochangia ukataji wa misitu barani Ulaya na ambazo zinaweza kufuatiliwa hadi ...
Mwandishi wa idhaa hiii, Carol Korir alizuru kaunti ya Embu kitovu cha kilimo cha Muguka na katika ripoti hii anatupa hali halisi ya wafanyabiashara wa zao hilo. Hawa ni wafanyabiashara akina mama ...
WAKATI Waislamu duniani wakijiandaa kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha inayohusisha ibada ya kuchinja wanyama, ...
Mamlaka nchini Argentina zimekamata zaidi ya wanyama 700 wa baharini waliokuwa wakisafirishwa kinyume cha sheria kutoka Kenya ...