Mwanamume aliyepooza kufuatia kukatika kwa uti wa mgongo ameweza kutembea tena, kutokana na kipandikizi kilichotengenezwa na timu ya watafiti wa Uswizi. Ni mara ya kwanza mtu ambaye amekatwa kabisa ...
Charles Muigai ni mtaalam wa viungo katika hosptiali ya rufaa ya Kilifi iliyopo mwambao wa pwani nchini Kenya. Ameweza kuwaletea afueni familia nyingi katika eneo hilo kwa uvumbuzi wake wa kifaa ...